BUT WHYYYYYY?😀😀
with the ongoing unemployment crisis, si mimi i tried my luck and a guy reached out akaniambia , he has a clinic that wants someone. so we talked and he told me that i should look for transport fare to that place. maze me niko kisumu jamaa ako mombasa. Umbwa mimi nikauza kila kitu kwa nyumba except my laptop, ndo atleast nipate fare. (Maze piga hesabu, kila kitu ya nyumba ina-amount to 4500😀😀).
sasa imefika leo jamaa after nimekoll mara kama forte fae ivi, ndo mahns anapick kol ananishow, walipata mtu ingine😀😀.
Kitu imeniuma ni aty mazeei wont be seeing those mombasa babes😀. Nlikua naplan nioe kamoja. kaaanguraa😀.
sasa nyumba iko tu na nguo😀.
but mbona mko ivo nyinyi wakenya mazeee😀.