Ni kama cramps zinataka kuniulia mrembo

Dawa ya cramps ni gani guys. Ni kama zinataka kuniulia mrembo. I don't even know what to do. Ako apa ameshika tumbo, anaroll, analia. I'm just confused